Balaa gani hili: Mwanamke akiwa uchi kwenye hotel ambayo England wameweka kambi mjini Rio |
HUKU
England ikihitaji ushindi katika mechi dhidi ya Uruguay Alhamisi
kufufua matumaini ya kusonga mbele Raundi ya Pili ya Kombe la Dunia,
vishawishi vimeanza kuivamia kambi yao.
Mwanamke
mmoja alinaswa akiwa 'uchi wa mnyama' nje ya chumba kwenye hoteli ya
Royal Tulip, ambayo England wameweka kambi. Lakini hilo lilitokea
wakati wachezaji wa England wamekwenda mazoezini milim a ya Sugarloaf
mjini Rio de Janeiro.
Mitego: Mwanamke akiangalia nje chini kutoka ghorofani katika hotel ya Royal Tulip
Sasa ndiyo anavaa akiwa nje
Wachezaji wa England, Raheem Sterling na Wayne Rooney wakiwa kwenye hotel yao Jumatatu
0 comments:
Post a Comment