
Hili
ni shindano lingine tena linalo husisha wadada wenye maumbo
yao.....Wadada walio Jazia Jazia huko Nigeria. Shindano hili lilifanyika
usiku wa Jana katika Hotel ya Federal Palace Hotel & Casino.Na mtoto Ijeoma Nnaji akitokea Kano State ndio alieibuka mshindi....ambae amejinyakulia brand new car....
0 comments:
Post a Comment