KIKOSI cha England kimeanza
vibaya Fainali za Kombe la Dunia
2014 nchini Brazil baada ya kupokea kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa
Italia usiku huu. Katika mechi hiyo ya kundi D wafungaji wa Italia:
Marchisio 35, Balotelli 50 na England Sturridge 37.
0 comments:
Post a Comment