Kulia ni Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Rais Jakaya Kikwete amewasili nyumbani kwa marehemu Mzee Small, Tabata,
Mawenzi jijini Dar na kutoa pole kwa wafiwa.
Baada ya kutoa pole Rais aliaga na
kuondoka huku akiacha umati wa waombolezaji waliokuwa msibani hapo
wakisubiri kumpumzisha Mzee Small katika nyumba yake ya milele.
0 comments:
Post a Comment