uzinduzi wa video ya miaka 50 ya Muungano
wa Tanzania iliyoimbwa na wasanii wakubwa 50 kutoka pande zote za
Tanzania.
Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Wasanii Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Mwana FA, Weusi, Hadija Kopa, TMK Wanaume na Yamoto Band na wengine wengi watatumbuiza

Mzee Chilo akiwa na Diamond
0 comments:
Post a Comment