MSANII wa
filamu za Kibongo, Lucy Komba amefunguka aachwe
adendeke hadharani na mpenzi wake Mzungu Janus kwani ni mtu mwenye malengo naye.
adendeke hadharani na mpenzi wake Mzungu Janus kwani ni mtu mwenye malengo naye.
Akizungumza na mwandishi wetu mara baada
ya kuhojiwa juu ya picha zilizozagaa mitandaoni, Lucy alisema kuwa
picha hizo alizipiga akiwa na mchumba wake huyo kwa hiari yake.
“Huyo mzungu ni mchumba wangu wa siku
nyingi anaitwa Janus, tunapendana sana ndiyo maana sijaficha kitu
niliamua kuziweka picha hizo kwenye ukurasa wangu wa Instagram. Niacheni
nifanye yangu,” alisema Lucy.
0 comments:
Post a Comment