Tuesday, 17 June 2014

RAIS KIKWETE KUWALETA TREY SONGZ NA USHER RAYMOND MWEZI UJAO KUZUNGUMZA NA WASANII WA FILAMU NA MUZIKI

Rais Kikwete na baadhi ya wasanii

Rais Kikwete anatarajia kuwaleta nchini wanamuziki maarufu wa Marekani Usher Raymond na Trey Songz mwezi ujao yaani July.

VIDEO
Wasanii hao watatumbuiza na pia kuzungumza na wasanii wa muziki na filamu nchini kwa mujibu wake mwenyewe. Juzi wasanii na Rais Kikwete walikuwa Dodoma katika uzinduzi wa video ya campaign ya Muungano.




Trey Songz na Usher Raymond

0 comments:

Post a Comment