hivi
ni kwamba mastaa wakihisi kuwa hawaongelewi njia pekee ya kurudisha
umaarufu ni kutupia picha zisizokuwa na maadili mtandaoni? hivi punde
msanii Recho ameweka picha ambazo kiukweli hazina maadili kwani zinaacha
sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa haujafunikwa kabisa, picha hizo ambazo
mapaja yote yako nje zimepondwa sana na mashabiki ambao wameonyesha
kutokubaliana nazo kabisa picha hizo

Friday, 18 July 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment