Monday, 21 July 2014

BREAKING NEWS : MAITI ZA WATU ZILIZO KAUSHWA ZAKAMATWA NDANI YA MIFUKO ENEO LA BUNJU USIKU HUU

 Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko
hiyo

 Mmoja ya Kiungo cha Mguu
 Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa
 Gari likiwa limebeba mifuko yenye viuongo hivyo, ambapo Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina baada ya kukakamata viungo mbalimbali vinavyodhaniwa kuwa ni vya binadamu katika  mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto sehemu za Mbweni Mpiji, Magohe, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.
 Sehemu ya mifuko ya plastiki iliyokutwa na viungo hivyo ambavyo inasemekana ni pamoja na mikono, miguu, ngozi na sehemu nyingine za miili
 Umati wa watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo muda huu

 Watu zaidi wakiwa wanaongezeka katika eneo la Tukio
Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili italetwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.
Endelea kufuatilia hapa.

0 comments:

Post a Comment