Sunday, 27 July 2014

DIAMOND ASHINDA TUZO AFRIMMA NCHINI MAREKANI



STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametwaa tuzo moja ya Msanii
bora wa kiume Afrika Mashariki katika Tuzo za Afrimma zilizofanyika Dallas. TX nchini Marekani.


Staa huyo aliwania tuzo katika vipengele vitano ambavyo ni: Msanii bora wa mwaka Afrika, Wimbo wa mwaka, Collabo bora, Video bora ya mwaka na Msanii bora wa kiume wa Afrika Mashariki. Kwaiyo kashinda tuzo moja ya msanii bora wa kiume Africa mashariki.
VIA GPL

0 comments:

Post a Comment