Vinginevyo utaishia kuwaita mashemeji tu kwa hiyo wakati ukimtamani mdada mrembo ujue hadi unamuona mrembo ni pesa hizo. Unakuta mkaka unawasiliana nae wiki nzima,unamjib text,akipiga unaongea nae fresh haha unashindwa kutuma tigo pesa hata elfu 30 useme jiunge bando? Wallah mie nasemaje kama huna pesa au hujui kutunza usinisumbue kabisa coz hatutoendana unataka meeting na mie hutumi hata laki 1 ya saloon licha ya mafuta ya kukufata inahuuu Badilikeni basi.
HATARI SANA: KUWA NA MSICHANA MKALI YATAKA MOYO...SOMA UJUMBE HUU TOKA KWA HUYU MDADA...
Vinginevyo utaishia kuwaita mashemeji tu kwa hiyo wakati ukimtamani mdada mrembo ujue hadi unamuona mrembo ni pesa hizo. Unakuta mkaka unawasiliana nae wiki nzima,unamjib text,akipiga unaongea nae fresh haha unashindwa kutuma tigo pesa hata elfu 30 useme jiunge bando? Wallah mie nasemaje kama huna pesa au hujui kutunza usinisumbue kabisa coz hatutoendana unataka meeting na mie hutumi hata laki 1 ya saloon licha ya mafuta ya kukufata inahuuu Badilikeni basi.
0 comments:
Post a Comment