Tuesday, 29 July 2014

LAANA: BINTI WA DARASA LA SABA AKURUPUSHWA GUEST KAMA ALIVYO, SOMA ZAIDI HAPA





Askari wa jeshi la polisi na wasamaria wema wakiwa wamemdhibti binti anayedaiwa
kuwa ni mwanafunzi wa darasa la saba moja ya shule ya msingi Manispaa ya Morogoro, binti huyo anadaiwa  kukurupushwa katika moja ya nyumba ya kulala wageni eneo la Mawenzi wakati akipelekwa kituo kidogo cha polisi. Kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na mapenzi na masomo.
Wasamalia wema wakiwa wamemdhibti binti anayedaiwa kuwa ni mwanafunzi wa darasa la saba Manispaa ya Morogoro baada ya kumnusuru na kipigo kutoka kwa kundi la wananchi wenye hasira waliotaka kufuatia binti huyu kudaiwa kukurupushwa katika moja ya nyumba ya kulala wageni eneo la Mawenzi mkoani Morogoro.


0 comments:

Post a Comment