Baada
ya siku kadhaa za kuwa nyumbani na familia yangu, nimekuwa na muda wa
kutulia na kutafakari kuhusu hasa kilichotokea wakati wa mchezo kati ya
Italy na Uruguay Juni 24 2014.
*Nasikitika sana kwa kilichotokea.
*Ninamuomba rahi Giorgio Chiellini na familia yote ya wanasoka
*Naahidi watu wote kuwa hakutakuwa na tukio kama hili tena
0 comments:
Post a Comment