Idadi ya wanawake wanaotafuta kuongeza makalio bandia kwa njia za upasuaji inaongezeka nchini Marekani.
Kutokana na gharama kuwa kubwa, baadhi huenda kwa madaktari wasio rasmi, na kusababisha madhara makubwa. FBI imesema huu ni uhalifu unaokua kwa kasi. Kwanini baadhi ya wanawake hutaka kuongeza ukubwa wa sehemu hiyo ya mwili?
0 comments:
Post a Comment