Thursday, 24 July 2014

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AWASILI JIJINI NAIROBI KUMWAKILISHA RAIS KIKWETE KWENYE MKUTANO WA MAZIWA MAKUU


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na Seneta wa Kirinyaga, Daniel
Dickson Karaba baada ya kuwasili wenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya Julai 23, 2014 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu kuhusu kupambana na tatizo la ajira kwa vijana unaotarajiwa kufanyiaka Julai 24, 2014.Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya,Mh. Batilda - Sarha Burhan

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na baadhi ya watumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya baada ya kuwasili wenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Julai 23, 2014 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu kuhusu kupambana na tatizo la ajira kwa vijana unaotarajiwa kufanyiaka Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment