Klabu
ya Young Africans haijajitoa kushiriki mashindano ya Kombe la Kagame
chini Rwanda kama inavyoripotiwa na baadhi ya mitandao ya habari nchini na kusema taarifa hizo ni za uongo.
chini Rwanda kama inavyoripotiwa na baadhi ya mitandao ya habari nchini na kusema taarifa hizo ni za uongo.
Katibu
mkuu wa Yanga SC Bw Beno Njovu amesema taarifa hizo zilizosambazwa ni za
uongo na kuwa kwa siku ya leo hajaongea na mwandishi wa habari yoyote
juu ya michuano hiyo.
Sie
hatujatangaza kutoshiriki michuano ya Kagame, kama tulivyosema awali
kikubwa tunasubiri taarifa rasmi za kushiriki kutoka CECAFA zitufikie
ofisini nasi tupange mikakati yetu "amesema Beno".
0 comments:
Post a Comment