Monday, 18 August 2014

BREAKING NEWS: TRAFIKI AGONGWA NA GARI ENEO LA BAMAGA!!


Askari mmoja wa kikosi cha usalama barabara ambaye jina
lake halikuweza kufahamika mara moja, amenusurika kufa baada ya kupata ajali akiwa anaendesha pikipiki ya polisi, ambayo ilikosa mwelekeo na kugongana uso kwa uso na gari dogo lenye namba za usajili T 681 CUX eneo la Bamaga Mikocheni jijini Dar es salaam.

0 comments:

Post a Comment