Watu 16 wamefariki dunia papo hapo na wengine 75 wamejeruhiwa baada ya
basi la AM linalofanya safari Mwanza-Mpanda kugongana na basi lingine la Sabena linalofanya safari zake Mbeya - Tabora, ajali imetokea ktk eneo la Mlogoro ,Sikonge- Tabora.
TUTAWALETEA HABARI KAMILI HIVI PUNDE
0 comments:
Post a Comment