Wednesday, 6 August 2014

YAFAHAMU MAWAZO YA MWANAMKE PALE ANAPOKUTANA NA H-SOME BOY... JIONEE HAPA







  • Kwanza kutazama tembea yako,kisela au kiheshima ili ajue kama una kazi au laa
  • Kama nguo zako zimefubaa basi unatembea juani na kama nguo zimejikunja basi hata pasi huna





  • gari
  • Kama pesa hutoi kwenye waleti basi hujazoea kuwa na pesa na hata lakimoja hujawahi kuwa nayo

  • Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hata hug au romance hujawhi pata kokote
  • Kama nywele huja chana inaonekana hujitunzi na hata zake hutoweza kugaramia

  • Ukiongea nae mda mrefu na maswali mengi basi una mtaka ila huelewi uanzaje kidume





  • Ukimshika au ukimgusa popote basi unamtaka kimwili
  • Kama nguo zako mkanda wa suruali na viatu havi machi basi pia moja kwa moja hujielewi na hujawahi kuwa na mwanamke

  • Usipomtazama machoni hujiamini na inaonekana muongo

    0 comments:

    Post a Comment