Saturday, 30 August 2014

MAPENZI:MPENZI WANGU HANITOSHELEZI KWA SABABU ANA UUME MDOGO SANA; NIFANYAJE JAMANI?




"Ninaitwa Kitorondo Fidodido, binti menye umri wa miaka 20, na ninaishi na dada yangu
Magomeni, Dar es salaam. Jamani, nina suala linaloumiza sana akili yangu, na hivyo nimeamua kumuomba admin wa mtandao huu kuwaombeni ushauri kwa niaba yangu:


Nina mpenzi wangu ambaye ni mtanashati sana na ana kila sifa ya kuwafanya wasichana wenzangu wampende na kumsifia huku wakiwa wananionea gere. Sema dosari aliyokuwa nayo mpenzi wangu ni kwamba ana ududu mdogo sana ambao kusema ukweli huwa inakuwa kama ananitekenya tuu anavyoniingiziaga.

Kiukweli nina kiu kubwa sana ya mapenzi lakini tatizo ni kwamba wa kunikuna ipasavvyo ni nani wakati mpenzi wangu hawezi? 


Ninaombeni ushauri jamani: Je, nimtafute mwingine ama nikomae naye huku nyege zikinisumbua siku zote?"

0 comments:

Post a Comment