Sunday, 24 August 2014

MAPENZI:SIFA 15 ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUMPENDA MWANAUME.




Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi  gani wanaweza kupendwa na
wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.


1. Kujiamini



2. Mcheshi

3Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5Anaetunza siri

6Mwenye kujithamini


7. Mwenye malengo / makini  


8Mwenye mawazo mapana 


 9Muwazi na mkweli  

10. Anayeridhika     
   
11. Aliyeshupavu na jasiri

 12. Mwenye huruma

13Anaesamehe

14Hadhi na heshima 

15Hisia ya uadilifu.

0 comments:

Post a Comment