Thursday, 7 August 2014

NIMECHOKA KUISHI MPWEKE JAMANI.. NAHITAJI KIDUME WA KUNILIWAZA ILA MWENYE MAPENZI YA KWELI...!!


Naombeni ushauri... Nimechoka kuishi peke yangu natamani nipate mwanaume
tuanzishe familia ....


lakini kila anaenifuata moyo wangu unamkataa maana bado nampenda my x ambae aliniacha wakati bado namhitaji.

0 comments:

Post a Comment