PICHA 10 ZA MAWE YA MWANZA YALIVYOPOROMOKA NA KUUA NDUGU WATU WANNE. Posted on 03:06 by tzjamii with No comments Natoa pole sana kwa ndugu waliopoteza ndugu zao wanne baada ya mvua kunyesha kisha nyumba zao kuporomokewa na haya mawe makubwa maeneo ya Mabatini Sinai mtaa wa Nyerere A. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment