Sunday, 24 August 2014

PICHA ZINATISHA:BOSS AMCHOMA KINYAMA MFANYAKAZI WAKE MOTO KISA KIKOJOZI!



Mama mmoja wa kutoka Nigeria amemchoma mfanyakazi wake wa ndani kwa kifaa
kiitwacho electric cooker kisa kikiwa ni msichana huyo kukojoa ndani. Picha nyingine za alivyojeruhiwa hizi hapa chini....

0 comments:

Post a Comment