Thursday, 28 August 2014

UEFA!! HIVI NDIVYO MAKUNDI YA CHAMPIONS LEAGUE YALIVYOPANGWA


IMG_6821.JPG

Hatimaye ligi ya mabingwa wa Ulaya imeanza kwa kupangwa kwa makundi ya
michuano hiyo ambapo tukio la upangwaji wa makundi haya umefanyika kwenye jiji la Monaco, Ufaransa na

mpango wote ndio umekua hivi.

Kundi A

Atletico Madrid
Juventus
Olympiakos
Malmo
Kundi B
Real Madrid
Basel
LIVERPOOL
Ludogorets
Kundi C
Benfica
Zenit St Petersburg
Bayer Leverkusen
Monaco
Kundi D

ARSENAL
Borussia Dortmund
Galatasaray
Anderlecht
Kundi E
Bayern Munich
MANCHESTER CITY
CSKA Moscow
Roma
Kundi F
Barcelona
Paris St-Germain
Ajax
Apoel Nicosia

Kundi G
CHELSEA
Schalke
Sporting Lisbon
Maribor
Kundi H
Porto
Shakhtar Donetsk
Athletic Bilbao
Bate Borisov

0 comments:

Post a Comment