Monday, 18 August 2014

WAKUBWA TU:MPENZI WANGU KILA AKITONGOZWA NA WANAUME ANANIAMBIA, JE HII NI SAWA...?? USHAURI PLEASE...





Wadau , Naomba mnipe mwongozo kwa hili tatizo la mpenzi wangu.
Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:



Kwanza, juzi alinipigia simu [hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu.."eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka nini?....akaniambia eti anakuja huku [alipo huyu demu] mm nikamwambia nasafiri, sitakuwepo"

Pili, jana kaniambia "mpenzi kuna sms zinachekesha...ngoja nikuforwadie...sms 1 ilisomeka "nakuhitaji"....
Sms ya Pili ipo hv.."leo umependezaa, nataka nije kwako"..hz sms anadai katumiwa na mshikaji anayeonyesha kumtaka kimapenzi


Hapa najiuliza ana maana gani kwa kunitumia msg hizi...??

Naombeni mniambie, na kunifafanulia haya jamani, maana sijui ana maana gani huyu mpenzi wangu....

0 comments:

Post a Comment