Friday, 1 August 2014

ZIFAHAMU SIFA 15 ZA MWANAUME ZINAZOMFANYA APENDWE NA WANAWAKE!!




Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi  gani wanaweza 


kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapendamweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume. 
1. Kujiamini 

2. Mcheshi

3Mwenye utashi
4. Anayetoa msaada unapohitajika

5Anaetunza siri

6Mwenye kujithamini
7. Mwenye malengo / makini   
8Mwenye mawazo mapana
  
 9Muwazi na mkweli   

 10.Anayeridhika        
 11. Aliyeshupavu na jasiri
 12. Mwenye huruma 

 13Anaesamehe 
 14Hadhi na heshima  
15Hisia ya uadilifu.

0 comments:

Post a Comment