Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii waliobadilisha muziki wa Afrika, kwa
mujibu wa kipindi cha Top 10 Most cha Channel O.
Kituo hicho kimemweka Diamond katika nafasi ya 10 pamoja na Fally Ipupa kwa wimbo wake Number One aliomshirikisha Davido.
Hii ni orodha nzima.
10. Diamond na Fally Ipupa
9.Mafikizolo na Flavour
8.Ice Prince na Naeto
7.Tiwa Savage na Wizkid
6.Dj Jimmyjat na Dj Waxxy
5.Banky W na P-Square
4.Knaan
3.D’Banj na Don Jazzy
2.Boom Shaka
1.2 Face Idibia
0 comments:
Post a Comment