Diamond
Platnumz ambae kwenye birthday yake hivi karibuni management yake
ilimzawadia gari aina ya BMW X6 ambapo inaaminika amechukua namba hizi kwa ajili ya mkoko wake aliozawadiwa na atakua msanii wa kwanza kuweka jina lake badala ya namba kwenye gari.
ilimzawadia gari aina ya BMW X6 ambapo inaaminika amechukua namba hizi kwa ajili ya mkoko wake aliozawadiwa na atakua msanii wa kwanza kuweka jina lake badala ya namba kwenye gari.
Utaratibu
wa kuweka majina badala ya namba umeanza kutumika kihalali nchini
Tanzania ambapo watu mbalimbali wasio maarufu walishaanza kujiwekea
miezi kadhaa iliyopita ambapo ada yake ni milioni tano kwa miaka mitatu.
0 comments:
Post a Comment