Sunday, 19 October 2014

T.I GUMZO TAMASHA LA SERENGETI FIESTAJIJINI DAR




Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani  muda huu kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.

Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya Leaders Club.

0 comments:

Post a Comment