Wasanii
Iringa watengeneza kamati ya kualibu show ya Diamond Platnumz katika
Show ya Mtikisiko Nov 22, kifo cha Geez Mabovu chawa sababu.
Show ya Mtikisiko Nov 22, kifo cha Geez Mabovu chawa sababu.
Msanii
pendwa hapa nchini Tanzania na nchi ambaye ni Heat maker wa Mdogo mdogo
maarufu kwa jina la diamond platnumz amepigwa marufuku na wasanii wa
kizazi kipya mkoani iringa kwa kile kilichozaniwa kuwa diamond hana
msaada wowote kwao wao kama wasanii, Ishue nzima ni msiba
wa
mwanamuziki wa miondoko ya hip hop maarufu kwa jina la Geez mabovu
wamekasirishwa na kitendo cha Diamond kuto kuandika chechote katika
account zake za mitandao ya kijamii wala kutoa tamko lolote kama
ameguswa na kifo cha msanii Geez mabovu wakati katika harakati za
kutafuta nafasi ya kutoka kimuziki Diamond alimuomba Geez mabovu kufanya
nae nyimbo ambapo
walifanikiwa
kufanya nyimbo ya pamoja ambayo ilikua inaitwa Jisachi na ndo nyimbo
inasemekana ilimfungulia milango ya kufanikiwa kimuziki msanii Diamond,
Licha ya Diamond kupata mualiko wa kufanya show mkoani Iringa baadhi ya
wasanii mkoani hapo wamepanga kuaribu kwa makusudi show ya Diamond
amboyo imeandaliwa na kituo cha redio cha Ebony fm kilichopo mkoani hapo
iringa, moja kati ya wasanii wenye njama ya kutaka kumualibia Diamond
anaitwa Najo mkali ameandika katika ukurasa wake wa facebook yafuatayo.
CHANZO: djjonamusic.blogspo
0 comments:
Post a Comment