Thursday, 4 December 2014

HAYA NDIYO MAKOSA MAKUU YA DIAMOND PLATINUMZ NA DEMU WAKE ZARI,,,SOMA HAPA

Jamani kosa la diamond na zari lipi? Mpaka sasa hawajasema hadharan kwamba ni wapenzi wako kwenye "project" Na hata kama ni wapenzi kweli sioni shida yoyote. Diamond niliwahi kusema bado ni kijana mdogo ambaye bado hajaweza kustahimili masuala yake binafsi hasa mahusiano.





Pili kuna watu tuliwahi kulalamika kwamba wema akiwa na diamond mambo yake yanalala...ameachana naye mambo yake yanasonga sasa mbona mnalalamika tena na kutengeneza mabifu yasiyokuwa na kichwa wala miguu...mpaka watoto wa zari kudhalilishwa na mumewe why...si waliachana? Na dai kaachana na wema? Tuwaache waendeleze "projects" 




zao!! Tatu...tusijekuitana wachawi hayo mambo ya wema na daimond wanajuana wenyewe ukute bado wanaendelea ila si mnajua kuna wasanii wengine bila scandal hawawi juu? Hawa watu tuwasapoti kila mmoja kwa masuala yake ya sanaa ila mapenzi yao..watujua wenyewe, na kama Mungu kawapangia watakuwa pamoja. Kama hapana kila mmoja atapata mwenzi wake Mungu aliyempangia.

0 comments:

Post a Comment