asubuhi,katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.

Baadhi
ya Watu wakitazama ajali ya magari mawili kama yaonekanavyo
pichani,iliyotokea mapema leo eneo la Moroco-Posta jijini Dar,katika
ajali hiyo ambayo chanzo chake hakikufahamika mara moja,mtu mmoja
alijeruhiwa na hakuna aliyepoteza maisha.
Mama
ambaye jina lake halikufahamika mara moja moja aliyekuwa kwenye gari
lenye usajili wa namba T679 CKC,akipewa huduma ya kwanza mara baada ya
kupoteza fahamu
Moja ya gari ambalo pia lilipata ajali mara baada ya kuacha barabara na kuvamia mtaro kama lionekanavyo pichani
Moja
ya gari ambalo pia lilipata ajali mara baada ya kuacha barabara na
kuvamia mtaro kama lionekanavyo pichani,huku abiria wake mmoja akiwa
amepoteza fahamu,kama aonekavyo kwa mbali
0 comments:
Post a Comment