Tuesday 28 April 2020

Wednesday 16 January 2019

Friday 25 May 2018

Sunday 20 May 2018

Soka letu Tz

Je simba pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js"></script>
<!-- networktz2014_sidebar-right-1_AdSense1_160x600_as -->
<ins class="adsbygoogle"
     style="display:inline-block;width:160px;height:600px"
     data-ad-client="ca-pub-6409318907215764"
     data-ad-slot="2800375134"></ins>
<script>
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
</script>
https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRzergSO1mXPtas1ccSCJKT98ANaIT_b5YNIVagNgvMys1x6GKBbA

Monday 31 July 2017

Monday 1 August 2016

Sunday 14 June 2015

Saturday 13 June 2015

Friday 12 June 2015

Thursday 11 June 2015

Tuesday 9 June 2015

Monday 9 March 2015

Thursday 4 December 2014

DARASA LA MAPENZI..!!! Unajua kwanini wadada wengi hupenda mabwana wa Kisukuma?? Soma hapa


                      Sifa za mabwana wa Kisukuma.



Ma giant, wamepanda na wameshiba, fully protected ukiwa naye mmoja.
Wanajali, kwao hamna uchoyo, ubahili wala kujiuliza mara mbili kwa mpenzi wake.

HAYA NDIYO MAKOSA MAKUU YA DIAMOND PLATINUMZ NA DEMU WAKE ZARI,,,SOMA HAPA

Jamani kosa la diamond na zari lipi? Mpaka sasa hawajasema hadharan kwamba ni wapenzi wako kwenye "project" Na hata kama ni wapenzi kweli sioni shida yoyote. Diamond niliwahi kusema bado ni kijana mdogo ambaye bado hajaweza kustahimili masuala yake binafsi hasa mahusiano.



Wednesday 3 December 2014

DARASA LA MAPENZI..!! CHUMA CHA MOTO HAKIZIMWI KWA MAJI BARIDI!

Nami vilevile kwa nini niwanyime uhondo kitu ambacho nimekipata katika raha zangu? Shoga huu ni unyago wa bure, japo si kungwi kihivyo, lakini kaa chini nikufunde ufundike, sipendi kutiwa aibu na mwanamke mwenzangu, aibu hivyo mbayaaaa eeeh?


Mmh! Yaani kufungua gazeti tu umeanza na mimi, inaonekana ulikuwa

HII NI FUNGA MWAKA MZEE AIBUKA, ADAI ROSE NDAUKA NI MWANAYE

MADAI! Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Severin Daniel Ndauka amejitokeza katika Ofisi za Global Publishers na kudai kwamba, staa wa sinema za Bongo, Rose Donatus Ndauka ni mtoto wa kaka yake ambaye alichukuliwa kutoka Tanga na kupelekwa jijini Dar.

Mzee Severin Daniel Ndauka anaedai kuwa Rose Ndauaka ni mwanaye.

Saturday 29 November 2014

Tuesday 18 November 2014

Saturday 15 November 2014

Tuesday 4 November 2014

Tuesday 28 October 2014

UPDATE: CHIDI BENZ Apandishwa KIZIMBANI KISUTU


Msanii wa Hip Hop, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ leo amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya, vifaa vya kutayarishia, uvutaji wa madawa, usafirishaji na utumiaji wa madawa hayo ambayo alikamatwa nayo kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Novemba 23, 2014.

Monday 27 October 2014

MHMHM USHAURI JAMENI!!! SOMA HIII NA TOA USHAURI WAKO MNDAU WA DAILY NEWS ZETU...............


  

Nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa


amani kwa kweli kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana,kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania,nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.

Sunday 26 October 2014

Saturday 25 October 2014

Friday 24 October 2014