Tuesday 4 November 2014

MAHABATI: VITU NANE VYA KIPUMBAVU AMBAVYO WADADA HUFANYA KWENYE MAPENZI!

image
1.Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio
ukweli wenyewe. Usiwe mjinga.2. Kukubali kuwa mke wa pili. Samahani sana nitakao gusa imani zao.3. Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even hata kwenu apajui. Na pengine hata wazazi wako hawajui4. Kutumia picha ya boyfriend wako kama profile picture wakati yeyehana hata wazo la kufanya hivyo.5. Kumpa thamani yako PRIDE (Bikira),
mwanaume ambaye ajatoa pesa ya mahari.6. Kupika chakula mara kwa mara na kufua nguo kuonyesha upendo kwa boyfriend wako ambaye sii mume wako.7. Kutokumuheshimu mzazi wako kwa sababu tu ya mwanaume ambayewazazi wako hawamjui.8. Kumpa mwanaume sexkirahisi tu kwa sababu amekuambia atakuoa.

0 comments:

Post a Comment