Monday 27 October 2014

MHMHM USHAURI JAMENI!!! SOMA HIII NA TOA USHAURI WAKO MNDAU WA DAILY NEWS ZETU...............


  

Nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa


amani kwa kweli kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana,kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania,nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.

0 comments:

Post a Comment