Thursday, 12 June 2014

AUDIO..HATARI SANA: HAIJAWAHI KUTOKEA...WAFANYA SHEREHE KUFARIKI KWA MTU WASIYEMPENDA...!


Kila siku Duniani kunakua na vituko vya aina tofauti sasa hii unaambiwa jamaa wameamua kufanya party baada ya mtu anaesemekana hawampendi kufariki dunia

Kwa hali ya kawaida unaweza kushangaa wanawezaje kufanya party wakati wa msiba sasa Idara ya Hekaheka inakukutanisha na vvijana hawa waliokuwa wakicheza  ngoma na kushangilia baada ya msiba huo...

0 comments:

Post a Comment