Miongoni
mwa mastar ambao wanamake headline kila kukicha ni pamoja na Ney wa
Mitego
ambaye siku chache zilizopita aliwaonyesha waandishi habari
nyumba yake mpya aliyoijenga na baadhi ya vitu vingine ikiwemo pia gari
analotembelea kwa sasa ambalo ni Nissan Murano.
Leo
kupitia You heard mpenzi wa Ney aitwae Siwema amehusishwa taarifa za
kupiga picha za utupu ambazo zimesababishwa kufukuzwa kazi kwenye
kampuni ya Shirika la ndege alilokua analifanyia kazi,Ney alipopigiwa
simu na Ney kuhusu suala hilo haya ndiyo yalikua majibu yake.
0 comments:
Post a Comment