Huu ni mwonekano wa Soko la Karume Baaada ya kuungu hapo juzui
Hiki
ni kitu ambacho kilipatikana mara baada ya moto kuzimwa eneo hilo la
soko,Kila mtu ana maswali mengiiiiii bila majibu Je ni kitu gani
hicho?au wewe ndugu msomaji unaweza tambua ni kitu gani Hiki?
0 comments:
Post a Comment