Saturday, 21 June 2014

BREAKING NEWS: MOTO MKUBWA WATOKEA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM), WANAFUNZI WAKOSA AMANI ONA MTUKIO YOTE HAPA



Moto uhuu umezuka  karibu na hostel za mabinti katika skuli ya sanaa na lugha
(humanities), chanzo cha moto huo hakijajulikana mpaka sasa..... tutakujuza kadri taarifa zitavyozidi kutolewa.









0 comments:

Post a Comment