Kijana
mmoja ambaye amefahamika kwa jina moja la Ridhiwan akutwa na wananchi
Akimlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 12 maeneo ya PPF Njiro majira ya
saa 11 jioni hii
Huyu ndiye mtoto aliye lawitiwa mwenye umri wa Miaka (12.)
Amani Athumani akiwa Chini ya
Mashuhuda wakiwa wanamshangaa kijana huyo aliyelawiti mtoto
Wananchi wakiwa wamejitokeza ili kumukamata kijana huyo...
Mpaka sasa kijana huyo yupo eneo alililo kamatwa Njiro karibu na PPF.
0 comments:
Post a Comment