Monday, 2 June 2014

EXCLUSIVE PHOTO’S: Masaa 4 kabla ya kifo cha GEOGRE TYSON pamoja na gari alilopata ajali ziko hapa



IMG_4162

Marehemu Geogre Tyson pichani hapa alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji
wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma. Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni masaa 4 tu toka tuanze safari ya kurudi Dar es Salaam maeneo fulani hivi kama unataka kukaribia GAIRO mjini.
Katika gari hilo walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza mauti na wengine kupata majiraha mwilini pamoja na dereva wa gari hilo. Kwa sasa mwili wa marehemu umehifadhiwa hapa Morogoro katika  hospital ya mkoa Morogoro, baadae asubuhi mwili utaanza safari ya kurudi Dar es Salaam



IMG_4166
 


IMG_4176

IMG_4213 
IMG_4214 
IMG_4215
 Story Na Picha Kwa Hisani Ya Dj Choka

0 comments:

Post a Comment