Sunday, 8 June 2014

KUTOKA MSIBANI KWA MAREHEMU MZEE SMALL TABATA



Mke wa marehemu Mzee Small, Bi. Fatuma Said akiwa na simanzi nzito.
  Wasani Jumanne Shabaan 'Made Matata', Mbembe (katikati) na Habib Mrisho 'Sumaku' (kulia) wakijadiliana jambo msibani.
Baadhi ya watoto wa marehemu, aliyesiama Abdul, aliyekaa Abdulahaman na mdogo ni Said wakitafakarii jambo.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani.
Maandalizi ya sehemu ya kukaa.
  Sehemu ya kukaa waombolezaji.

  Moja ya nyumba za Mzee Small.

0 comments:

Post a Comment