Msanii
Nguza Viking (kulia) na Mwanae Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii
Kocha ambao wanatumikia Kifungo chao kwenye Gereza la Ukonga jijini
Dar,wakiwa na Bendi ya Wafungwa wakiimba Wimbo Maalum kuhusu
Urekebishaji wa Wafungwa unavyofanyika Magerezani…
Wanamuziki
hao walitumbuiza katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika Juni
20, 2014 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga.
0 comments:
Post a Comment