Watu wanasema eti wanawake wanene wananuka na huwa na fangasi? Aliewaambia
wanene wananuka nani? wanaonuka ni kwa sababu hawajui kujisafisha.Kama
mwanamke hajisafishi au sio msafi kiujumla ndio ananuka na hata kupata
fungus.Mkubali mkatae wanaume nao wana machaguo yao, kama ni wembamba ua
unene, kila mtu ana chaguo lake...ila ziwa na tako ndio mpango
mzima.ukiwa kimbau mbau hata ukipita hustui watu.
Wednesday, 18 June 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment