Hivi karibuni kituo cha K24 cha nairobi
kilibaini kile ambacho watu wengi kiliwaacha mdomo wazi kuwa, wapo wake
za watu wanaofanya shughuli za kuuza miili yao mchana na usiku kurejea
nyumbani kwenye ndoa zao. Kwenye uchunguzi huo wa hatari, waandishi wa
kituo hicho walienda kwenye baadhi ya madanguro na kujifanya wateja huku
wakiwa na camera zilizokuwa zimefishwa.
Tazama video hii itakayokuacha mdomo wazi.
0 comments:
Post a Comment