Monday, 9 June 2014

WATUHUMIWA WA MTOTO ALIYEFICHWA KWENYE BOKSI KUSOMEWA MASHITAKA UPYA!! SOMA APA!!


1
Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Nasra Rashid ikiwasili
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro.

 2
Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga
Omari akishuka kwenye gari la polisi kwa staili ya kuruka.
3
Bi. Mariam Said ambaye ni mama mkubwa wa Nasra, akishuka kwenye gari hilo.
4
Baadhi ya wananachi wakiwazomea watuhumiwa waliokuwa kwenye gari hilo baada ya kesi yao kuhairishwa hadi Juni 12 mwaka huu.
5

Wananachi hao wakilifukuza gari lililobeba watuhumiwa waliorejeswa polisi kwa mahojiano mapya baada ya mtoto Nasra kufariki dunia.

0 comments:

Post a Comment