Sunday, 22 June 2014

WEMA SEPETU...ANENA MAZITO HUKO INSTAGRAM...!


Masikini Wema katika siku alizowahi kuongea kwa uchungu, leo ametisha. Kwa kilichomkuta leo hatamani hata kuelezea.
Ameshindwa kuvumilia na hatimae kutokwa chozi mtu mzima baada ya watu anaojibizana nao mitandaoni kuchukua picha ya mama yake na kui-edit akaonekana akiwa uchi.

Ni fedheha kubwa sana kwa Wema na kwa yeyote mwenye uchungu na mama hili hakuwa na budi kuwa mpole. Soma kilichomkuta hapa.

0 comments:

Post a Comment