Monday, 21 July 2014

AIBUU: WASANII WA MOVIES WANASWA LIVE WAKIVUNJA AMRI YA SITA GUEST....!

Wasanii hawa wa maigizo maarufu kutoka nchini Nigeria walinaswa wakivunja amri ya sita bila uoga. Wasanii hao ambao inasemekana ni wapenzi

walikua location wakishoot movie ya kawaida tu, ila inasemekana wawili hao walijifungia chumbani pale watu wote walipotoka kwenda kupata chakula cha mchana baada ya pilika pilika za kurekodi.

Baadaye wasanii hao walianza kula tunda bila ya kuwa na habari kuwa kuna camera ambazo zilikuwa zimetengeshwa ndani ya hoteli hiyo...Haijafahamika waliotegesha kamera hizo walikua wamewakusudia wao au lah...Wao walikuja shtuka picha hizo zimevuja mtandaoni...!

0 comments:

Post a Comment