Tuesday, 22 July 2014

DIAMOND PLATNUMZ AMPA MAKAVU ALI KIBA

Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aongee na Diamond..Diamond Ameandika Kwenye Insta Maneno Ambayo yanaonekana ni Jibu lake kwa Ali Kiba:





Diamond Platinumz
Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke…

0 comments:

Post a Comment